Posts

Showing posts from October, 2020

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YANAYOKUZA NYWELE HARAKA

  JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUREFUSHA NYWELE Mafuta ya kurefusha nywele White oil 1 Lita Micro wax 1lita Olive oil vijiko 6 Castro oil Majani ya mvuje vijani 10 Majani ya rosemary kichane 1 Vitunguu saum punje 6 Vitunguu maji 3 Jinsi ya kutengeneza Yeyusha white oil na microwax ikiyeyuka  kwa moto mdogo weka  castro oil kisha ipua weka pembeni Chemsha olive oil vitunguu saum na vitunguu maji kisha chuja changanya vyote na vile vya kwanza koroga Chukua tena olive oil vijiko 5 chemsha na mvuje na rosemary chuja  Changanya vyote koroga Weka rangi ya mafuta kijani au njano Weka perfume Vikipoa weka kwenye  package yagande tayari kwa kutumia au kuuza Mafuta ya Watoto ya Nazi ya mgando White oil 1 Lita Micro wax 1 lita Pure Coconut oil 1/4 lita Jinsi ya kutengeneza Weka vyote jikoni kwenye sufuria na moto mdogo Kisha ipua Vikipoa weka kwenye  package yagande tayari kwa kutumia.  0658005349

FAIDA ZA KULA TENDE

 Faida zitokanazo na matumizi ya Tende katika afya zetu. Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako: 1. Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora! 2. Huzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa wa anemia kutokana na kuwa na madini mengi ya chuma. 3. Hupunguza uwezekano wa kupata Kiharusi (stroke) kwani hazina cholesterol kabisa! Pia zina vitamini na madini kwa wingi. 4. Huongeza uwezo wa Kujamiiana kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha nguvu 5. Hupunguza madhara ya pombe mwilini na kurudisha afya ya mtu. 6. Zina kiasi kikubwa cha kamba kamba ambazo hufanya mtu apate choo kirahisi na laini. 7. Licha ya kuwa tamu, tende haziongezi kiwango cha sukari mwilini, hivyo zinaweza kutumika kama mbadala wa sukari 8. Huimarisha Mifupa na kuondoa maumivu ya mara kwa mara ya mifupa kutokana na kuwa na madini ya chuma na potassium kwa wingi.

JINSI YA KULAINISHA MATAKO

 🍇🍇NJIA ZA ASILI ZA KURAINISHA MATAKO YAKO YAWE LAINIIII🍇🍇 Mahitaji Unga wa dengu Griceline au vaseline oil Sukari Njia Chukua dengu vijiko viwili vya chakula, kisha weka katika chupa moja ya griceline au vaseline oil, changanya na kijiko kimoja cha sukari 🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍇 Pakaa makalio yako kila siku usiku kwamuda wa siku 7  🍇🍇🍇🍇🍇🍇0658005349

KUONDOA CHUNUSI

 🌸 *MANJANO*🌸 _Manjano  husaidia kuondosha tatizo la chunusi,madoa,ngozi kuwa na mafuta mengi,ukavu wa ngozi pamoja na kung'arisha ngozi._ 🌹 _*KWA CHUNUSI SUGU*_ 👉🏼Manjano 👉🏼Rose Water _Changanya vizuri liwe rojo Kisha Pakaa usoni baada ya kusafisha uso.Kaa nayo kwa muda wa dakika 15 Kisha uoshe uso.Fanya hivi Mara moja kwa siku.Siku tatu kwa wiki._ 🌹 _*KUONDOA MAFUTA*_ 👉🏼Manjano 👉🏼Limao 👉🏼Mtindi _Changanya vizuri Kisha Pakaa usoni mchanganyiko huo Hadi shingoni.Baada ya dakika 20 unaweza kunawa uso wako._ 🌹 _*UKAVU WA NGOZI*_ 👉🏼Manjano 👉🏼Asali 👉🏼Maziwa fresh _Changanya Kisha upakae usoni tu na ukae nayo kwa dakika 20 Kisha uoshe.Tumia siku 3kwa wiki._ 🌹 _*KUONDOA CHUNUSI/MABAKA/MADOA*_ 👉🏼Limao 👉🏼Manjano 👉🏼Baking Soda _Changanya Kisha Pakaa usoni angalia usiguse macho.Kaa nayo ndani ya dakika 30 Kisha unawe kwa maji ya vuguvugu.Tumia mfululizo ndani ya wiki moja._ 0658005349

FAIDA YA MANJANO KWENYE UREMBO

 manjano asili ya unga  ni kipodozi pendwa sana cha asili kabisa kisicho na madhara yoyote ..manjano inasaidia kuondoa chunusi, ..inasaidia kuondoa weusi kwapani,magotini,shingoni pia ..inaondoa makovu ya chunusi ..inaondoa makunyanzi  ..inaondoa wekundu wa kuungua na cream kwa maelezo zaidi  0658005349

IJUE FAIDA YA MAJANI YA MPERA

 MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI. 1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi. 2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy). 3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini. 4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini. 5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume. 6. Pia inatumika kama scrub ya uso. Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni. 7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara. 8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria. 9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu. 10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume. 11. Kutokana na kuwa na vitamini C

MAJANI YA ROSEMARY

 HAIR TEA 05. MAJANI YA ROSEMARY  🌺Majani mengine tutakayo yaongelea leo jitahdi rosemary majani haya ana matumiz mengi kuanzia kwenye ngozi, chakula hadi nywele lakini leo tutaongelea upande wa nyweke tu. 🌺Majani haya yanasaidia kutibu matatizo mbalimbali ya ngozi ikiwemo allergy. KUANDAA  🌺NJIA ni zile zile              ✔kuchemsha                             ✔Kusaga                       ✔Kukausha  FAIDA  👉 Kutibu mba, miwasho na scalp allergy  👉kumoisturize nywele yako  👉Inaongeza mzunguko wa damu  👉Inasaidia kukuza nywele  Kama nyweke yako imedumaa au sehemu fulani nywele hazioti jaribu hii sis kisha utupe mrejesho unaweza kuweka kwenye steaming au ukatumia kama hair tea  Unayafahamu kwa jina gani haya? 0658005349

MAGANDA YA NDIZI KWA KUONDOA VIPELE VYA MBU..

 Maganda ya ndizi mbivu kwa kuondoa vipele vya mbu  Leo kwenye safu yetu ya tiba tutaona jinsi maganda ya ndizi yanavyoweza kukutibu vipele vya mbu, wengi tunajua uking’atwa na mbu unakuwa na vipele ambavyo utajikuna na wakati mwingine utabaki na madoa, maganda ya ndizi ni suluhisho ambalo watu wengi huwa wanatumia. Jinsi ya kutumia kama tiba Kama umeng’atwa mikono, hakikisha unaosha mikono yako vizuri, kama ni mwili oga kisha chukua maganda hayo ya ndizi jisugue eneo hilo kwanza utaondoa muwasho wote lakini na ngoi yako itabaki kuwa nyororo. Huondoa pia madoa  Kama umeshapona muwasho na umebaki na madoa chukua maganda hayo sugua kila siku kama unayefanya maski mpaka utakapoona madoa hayo yameisha. 0658005349

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

  JINSI YA KUTENGENEZA LOTION ASILIA KWA NGOZI NYORORO YENYE MNG'AO (NATURAL) *JINSI YA KUTENGENEZA LOTION ASILIA KWA NGOZI NYORORO YENYE MNG'AO  (NATURAL)* *Chagua moja kati ya lotion zifuatazo* *Mahitaji* 🍇Vitamin c powder/unga1 Tbs 🍇Vitamin e Capsule/oil matone 5 🍇Rose water 1Tbs🌹 🍇Glycerin 1 Tsp 🍇Shea butter au Vaseline lotion/Lotion yoyote uipendayo 100ml *Jinsi ya kufanya* Tia rose water kwenye bakuli safi kisha tia kijiko kimoja cha unga wa vitamin C Changanya vizuri na ukoroge kwa muda wa dakika 5 mpk vitamin c iyeyuke kabisa kisha ongezea glycerin na vitamin e na uchanganye vizuri Tia lotion yako ya vaseline ujazo wa ml 100 ama shea butter ama cream yoyote uipendayo mwenyewe kisha changanya vizuri hadi ichanganyike Weka kwenye chupa safi tayari kwa matumizi Hii itafanya ngozi yako kua laini na kuondoa ukavu wa ngozi pamoja na kuiacha ikipendeza zaidi na zaidi Unaweza kupaka kwenye mwili hata usoni na ni salama kabisa haina sumu Lotion ya pili *Mahitaji* 🍇Mafuta

FAIDA YA PARACHICHI

 FAIDA ZA KULA TUNDA LA PARACHICHI Zipo faida nyingi sana mtu anazipata iwapo atakula parachichi kama ifuatavyo:- Parachichi limejaa virutubisho mbalimbali Husaidia kupunguza uzito Parachichi lina Fatty Acid kwa mtumizi mbalimbali ya mwili Hupunguza lehemu mbaya (cholesterol) Kukabili maradhi ya kisukari Hulinda afya ya moyo Huzuia uvimbe Hulinda afya ya macho Parachichi lina Potasiamu nyingi kuliko ndizi Huboresha afya ya nywele na ngozi Huzuia saratani Huimarisha mifupa Huboresha mmeng’enyo wa chakula Ni muhimu kwa wajawazito Huimarisha kinga ya mwili Huboresha afya ya ubongo Huboresha ufyonzwaji wa virutubisho Hukuweka katika hali nzuri (mood) Huongeza nguvu za mwili Ni chakula bora kitokanacho na mimea Unaachaje kula parachichi!!!! piga 0658005349

UMUHIMU WA PARACHICHI KWENYE NYWELE

 Umuhimu wa parachichi kwenye nywele . Hili ni tunda muhimu Sana unapozungumzia maswala ya nywele . 1.Wale wenye nywele chache . Hili ndo tunda lako. Steaming yako unatakiwa iwe ya parachichi . Parachichi inajaza nywele hapo hapo ukimaliza na kuzikausha baada ya streaming. 2.Ukifanya steaming yake inaweka unyevu(ubaridi) kwenye nywele. 3.Inazuia mba. 4.Husaidia nywele zilizoharibika. 5.Unaweka mng'ao kwenye nywele .

FAIDA YA PARACHICHI USONI

 Mask kwaajili ya chunusi. 🥄 1/4 parachichi lilioiva 🥑 🥄 kijiko kimmoja cha limoa🍋 🥄 nusu kijiko cha unga wa majano ☑️ menya avocado alafu saga mpaka ilainike.🥑 ☑️ ongeza juisi ya limao na unga wa manjano kutengeneza paste. 🍋 ☑️ Weka mask kwenye uso ulio oshwa.💆‍♀️ ☑️ Acha mask ikae kwa muda wa dakika 15🕟 ☑️ Alafu osha uso kwa kutumia maji ya vugu vugu..💦 Kwa ushauri nichek 0658005349

ZIJUE FAIDA ZA KULA BAMIA KWENYE MWILI WAKO

 FAIDA ZA BAMIA KWENYE MWILI WA MWANADAMU. Bamia ni zao linalolimwa karibia maeneo yote ya Tanzania na linastawi vizuri kulingana na takwimu mbalimbali. Pia Bamia huchukua siku 60 mpaka 70 toka kupanda na kulima kulingana na aina ya mbengu. Na zifuatazo ni baadhi ya faida mbalimbali zitokanazo na Bamia kutoka katika tafiti mbalimbali zilizokwishafanyika kuhusiana na bamia. 1. Michirizi na utomvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika katika mwili kutoka kwenye utumbo mkubwa. 2. Utelezi wa bamia huchuja uchafu unaoingia katika Kolestorali (cholesterol) na asidi ya Nyongo unaoingia kutoka kwenye Ini ambao usipo dhibitiwa huenda ikasababisha matatizo ya ki-afya. Bamia husaidia kulainisha Utumbo mkubwa (large intestines) kutokana na kazi yake ya kulainisha choo. Pia Bamia hutumika kwa kutibu vidonda vya Tumbo inasaidia kusawazisha Asidi. 3. Inapunguza kolesrol 4. Inatibu tatizo la kwenda hedhi mara kwa mara na change la kike 5. In

JINSI YA KUTENGENEZA MAZIWA YA SOYA NYUMBANI

 UANDAAJI MAZIWA YA SOYA UKIWA NYUMBANI Maziwa ya Soya Aina hii ni maarufu pia, na kwa kuwa yanatokana na mimea, maziwa haya hana cholesterol ( lehemu) - tofauti na maziwa ya kawaida. Maziwa ya Soya pia yana kiwango cha chini cha kalori kuliko maziwa ya ng'ombe, yana kalori takribani 130 kwa kila kikombe. Hakuna lactose  katika maziwa haya, aina ya protini inayoleta sana gesi tumboni, hivyo huyafanya kuwa mbadala muhimu kwa watu ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa kushindwa kuvumilia lactose (lactose intolerance) katika mfumo wao wa umeng'enyaji, pamoja na watu wasiotumia bidhaa zitokanazo na wanyama pia (vegeterians) sababu haitoki kwa wanyama.  Soya ni mboga nzuri sana, na maziwa yanayotokana na jamii hii yana utajiri wa potasiamu, protini na kalsiamu ikiwa mtengenezaji atayaimarisha na madini. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini A na vitamini B12, ambayo haipo katika aina nyingine za maziwa. Maziwa ya Soya hutoa kiwango cha juu cha protini, pia ni bora kwa watu ambao wanajaribu

FAIDA YA LIMAO

  Tafiti zimebainisha kuwa mtu anashauriwa kutumia maganda ya ndimu kama ambavyo anatumia juisi ya limao kwani maganda hayo yanavirutubisho muhimu sana katika mwili wa binadamu hasa katika kupambana na kiwango cha sukari ndani ya mwili. Aidha, utumiaji wa juisi ya limao kila siku asubuhi una faida kubwa sana katika mwili wa binadamu, kwani limao ina virutubisho na madini mbalimbali kama Calcium, Magnesiam, vitamin C, Zink, Potasiam, kopa, chuma na Protini. Hivyo mbali na mwili kurutubika na madini tajwa hapo juu, unywaji wa juisi ya limao, kachumbali ya limao au maji ya vuguvugu yaliyonyunyiziwa limao husaidia mwili katika mambo 7 yafuatayo. Ukifanya haya 7 kila siku utajikinga na magonjwa ya moyo Kujipima ukimwi nyumbani kwazua sura mpya Limao husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kulainisha choo, hivyo kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la kupata haja kubwa wanashauriwa kila siku asubuhi kutumia juisi ya limao ili kusaidia kupata haja kubwa kwa urahisi. Limao hutunza mfumo wa kin

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.

Image
 IJUE TANGAWIZI NA FAIDA ZAKE : Tangawizi ni zao ambalo hustawi sehemu mbalimbali duniani na hutumika kama kiungo katika vyakula mbalimbali, dawa kwa tiba ya magonjwa ya binadamu na wanyama na pia kiambato muhimu kwenye vinywaji mbalimbali. Zao hili lilianza kulimwa katika nchi za Asia, Afrika Magharibi na katika visiwa vya Caribbean. Tangawizi ni zao linalotumiwa na walaji wote ulimwenguni, hii inatokana na baadhi ya watu kutambua faida zake ki-lishe na kitiba. FAIDA ZA TANGAWIZI: KILISHE: 􀀃 Tangawizi ikichemshwa na maji na kuongezwa sukari hutoa kinywaji ambacho ni kitamu na chenye ladha nzuri sana. Baadhi ya watumiaji hupendelea kuongeza asali, vipande vya machungwa au limao ili kuweza kupata ladha nzuri zaidi. Vilevile hutumika katika utayarishwaji wa vinywaji vingine viwandani kama soda, chai, kahawa nakadhalika. 􀀃 Hutumika kama kiungo muhimu cha kuongeza ladha kwenye vyakula mbalimbali kama biskuti, mikate, keki, nyama na vingine vingi.CHAI YA TANGAWIZI KITIBA: 􀀃 Utomvu unaoto

KITUNGUU MAJI,TANGAWIZI MGANGA WA NYWELE ZILIZOKATIKA

  Nywele kuwa nyepesi na kukatika kwa nywele  ni tatizo sugu kwa baadhi ya watu haswa kwa wanawake. Watu wengi wanapoteza pesa nyingi wakihangaika huku na kule kutafuta suluhiso juu ya tatizo hili. Leo nataka nikujuze namna ya kupambana na tatito hili kwa kutumia tangawizi na kitunguu maji tuu. Tangawi na  kitunguu saumu ni viungo tunavyovitumia jikoni kila siku katika upishi lakini viungo hivi tunaweza kuvitumia pia kwenye nywele kukabiliana na tatizo la nywele kuwa nyepesi. Tangawizi imesheheni madini ya magnesium, potasium , phospate pamoja na vitamins ambavyo vinasaidia nywele kuwa zenye afya na hivyo kuzuia kukatika kwa nywele. Kwa upande wa kitunguu maji kinasaidia kupambana na bacteria wanaoweza kusababisha magonywa ya ngozi ya kichwa kama m’ba ambayo huchangia kukatika kwa nywele. Ili kutumia viungo hivi kama tiba kwa nywele zako unatakiwa kusaga tangawizi pamoja na kitunguu maji chako kisha kuvichuja na kupaka mchanganyiko huu kwenye ngozi ya kichwa chako, tumia kofia ya plast

FAIDA ZA TANGAWIZI

  Huondoa Harufu mbaya ya kinywa. Tofauti na vyakula vingine kama kitunguu swaumu, tangawizi husaidia uwe na harufu nzuri pale unapopumua na kufanya maeneo ya mdomo kuwa safi. Hamu Ya Kula (appetizer) Huongeza hamu ya kula chakula. Kwa wale wenye mfumo mbaya wa umeng’enyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula. Kuyeyusha Mafuta Tangawizi husaidia kupunguza Kuganda kwa mafuta mwilini ambayo yana madhara makubwa mwilini. Hasa magonjwa ya kiharusi na shinikizo la damu. Kuondoa Sumu Mwilini Tangawizi husaidia kupunguza kichefuchefu na kutapika. Pia huwasadia sana wale watu waliotumia sana madawa na kuwa na  sumu nyingi mwilini. Husaidia Kupunguza Uzito/Mwili kunywa kikombe cha chai ya Tangawizi ikiwa ime changanywa na limao itakusaidia kupunguza uzito pia tumbo. Kuipa ngozi muonekano mzuri na nyororo kutokana na vitamin zilizopo katika tangawizi zina weza kukusaidia kuipa ngozi yako muonekano mzuri na kuimarisha ngozi yako kuwa nyororo z