UMUHIMU WA PARACHICHI KWENYE NYWELE

 Umuhimu wa parachichi kwenye nywele .


Hili ni tunda muhimu Sana unapozungumzia maswala ya nywele .


1.Wale wenye nywele chache . Hili ndo tunda lako. Steaming yako unatakiwa iwe ya parachichi . Parachichi inajaza nywele hapo hapo ukimaliza na kuzikausha baada ya streaming.


2.Ukifanya steaming yake inaweka unyevu(ubaridi) kwenye nywele.


3.Inazuia mba.


4.Husaidia nywele zilizoharibika.


5.Unaweka mng'ao kwenye nywele .

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

MAFUTA YA MNYONYO

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.