FAIDA YA MANJANO KWENYE UREMBO

 manjano asili ya unga 

ni kipodozi pendwa sana cha asili kabisa kisicho na madhara yoyote

..manjano inasaidia kuondoa chunusi,

..inasaidia kuondoa weusi kwapani,magotini,shingoni pia

..inaondoa makovu ya chunusi

..inaondoa makunyanzi 

..inaondoa wekundu wa kuungua na cream

kwa maelezo zaidi 

0658005349

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

MAFUTA YA MNYONYO

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.