JINSI YA KULAINISHA MATAKO

 πŸ‡πŸ‡NJIA ZA ASILI ZA KURAINISHA MATAKO YAKO YAWE LAINIIIIπŸ‡πŸ‡


Mahitaji


Unga wa dengu

Griceline au vaseline oil

Sukari


Njia

Chukua dengu vijiko viwili vya chakula, kisha weka katika chupa moja ya griceline au vaseline oil, changanya na kijiko kimoja cha sukari

πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡

Pakaa makalio yako kila siku usiku kwamuda wa siku 7 

πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡0658005349

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

MAFUTA YA MNYONYO

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.