MAJANI YA ROSEMARY
HAIR TEA 05.
MAJANI YA ROSEMARY
🌺Majani mengine tutakayo yaongelea leo jitahdi rosemary majani haya ana matumiz mengi kuanzia kwenye ngozi, chakula hadi nywele lakini leo tutaongelea upande wa nyweke tu.
🌺Majani haya yanasaidia kutibu matatizo mbalimbali ya ngozi ikiwemo allergy.
KUANDAA
🌺NJIA ni zile zile
✔kuchemsha
✔Kusaga
✔Kukausha
FAIDA
👉 Kutibu mba, miwasho na scalp allergy
👉kumoisturize nywele yako
👉Inaongeza mzunguko wa damu
👉Inasaidia kukuza nywele
Kama nyweke yako imedumaa au sehemu fulani nywele hazioti jaribu hii sis kisha utupe mrejesho unaweza kuweka kwenye steaming au ukatumia kama hair tea
Unayafahamu kwa jina gani haya?
0658005349
Comments
Post a Comment