MAGANDA YA NDIZI KWA KUONDOA VIPELE VYA MBU..
Maganda ya ndizi mbivu kwa kuondoa vipele vya mbu
Leo kwenye safu yetu ya tiba tutaona jinsi maganda ya ndizi yanavyoweza kukutibu vipele vya mbu, wengi tunajua uking’atwa na mbu unakuwa na vipele ambavyo utajikuna na wakati mwingine utabaki na madoa, maganda ya ndizi ni suluhisho ambalo watu wengi huwa wanatumia.
Jinsi ya kutumia kama tiba
Kama umeng’atwa mikono, hakikisha unaosha mikono yako vizuri, kama ni mwili oga kisha chukua maganda hayo ya ndizi jisugue eneo hilo kwanza utaondoa muwasho wote lakini na ngoi yako itabaki kuwa nyororo.
Huondoa pia madoa
Kama umeshapona muwasho na umebaki na madoa chukua maganda hayo sugua kila siku kama unayefanya maski mpaka utakapoona madoa hayo yameisha.
0658005349
Comments
Post a Comment