FAIDA YA PARACHICHI

 FAIDA ZA KULA TUNDA LA PARACHICHI

Zipo faida nyingi sana mtu anazipata iwapo atakula parachichi kama ifuatavyo:-

Parachichi limejaa virutubisho mbalimbali

Husaidia kupunguza uzito

Parachichi lina Fatty Acid kwa mtumizi mbalimbali ya mwili

Hupunguza lehemu mbaya (cholesterol)

Kukabili maradhi ya kisukari

Hulinda afya ya moyo

Huzuia uvimbe

Hulinda afya ya macho

Parachichi lina Potasiamu nyingi kuliko ndizi

Huboresha afya ya nywele na ngozi

Huzuia saratani

Huimarisha mifupa

Huboresha mmeng’enyo wa chakula

Ni muhimu kwa wajawazito

Huimarisha kinga ya mwili

Huboresha afya ya ubongo

Huboresha ufyonzwaji wa virutubisho

Hukuweka katika hali nzuri (mood)

Huongeza nguvu za mwili

Ni chakula bora kitokanacho na mimea

Unaachaje kula parachichi!!!!


piga 0658005349

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

MAFUTA YA MNYONYO

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.