ZIJUE FAIDA ZA KULA BAMIA KWENYE MWILI WAKO

 FAIDA ZA BAMIA KWENYE MWILI WA MWANADAMU.


Bamia ni zao linalolimwa karibia maeneo yote ya Tanzania na linastawi vizuri kulingana na takwimu mbalimbali. Pia Bamia huchukua siku 60 mpaka 70 toka kupanda na kulima kulingana na aina ya mbengu. Na zifuatazo ni baadhi ya faida mbalimbali zitokanazo na Bamia kutoka katika tafiti mbalimbali zilizokwishafanyika kuhusiana na bamia.


1. Michirizi na utomvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika katika mwili kutoka kwenye utumbo mkubwa.

2. Utelezi wa bamia huchuja uchafu unaoingia katika Kolestorali (cholesterol) na asidi ya Nyongo unaoingia kutoka kwenye Ini ambao usipo dhibitiwa huenda ikasababisha matatizo ya ki-afya.

Bamia husaidia kulainisha Utumbo mkubwa (large intestines) kutokana na kazi yake ya kulainisha choo. Pia Bamia hutumika kwa kutibu vidonda vya Tumbo inasaidia kusawazisha Asidi.

3. Inapunguza kolesrol

4. Inatibu tatizo la kwenda hedhi mara kwa mara na change la kike

5. Inaongeza kinga ya mwili

6. Inasaidia taitizo la kukosa choo


7. Asidi ya Kujirudia rudia na Kufunga Choo


Tafuna vipande sita vya Bamia bila kutumia dawa nyigine kilasiku na Asidi ya Kujirudia rudia na kufunga choo kutakwisha, inashusha Sukari kutoka 135 hadi 98


8. Pumu


Bamia ina Vitamin C ambayo inawafana watoto wanaougua ugonjwa wa pumu kupumua vizuri wanapoitumia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa na miligramu 13 ya vitamin C.


9. Kidonda Ndugu (Cancer)


Bamia husaidia kuweka Utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza uwezakano wakuugua ugonjwa huu wa Kansa hasa kwenye utumbo mkubwa.


10. Mishipa midogo ya Damu


Kula Bamia kwa wingi kunasaidia kuimarisha Mishipa midogo ya Damu.


11. Cataracts (Upungufu wa Kuona)


Nusu kikombe cha Bamia iliyopikwa inakua na kiwango cha 460 IU ya vitamin A.ambayo inapunguza uwezakano wa kupata ugonjwa wa mtoto wa jicho (cataracts).


12. Usongo (Depression) na Kukosa Nguvu


Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaojisikia dhaifu, Kuchoka na wanao athirika na Usongo (depression).


NB:SIO KILA LINAPOTOLEWA SOMO BILA DAWA INAMAANA MTU HAJUI DAWA AU MATUMIZI YAKE LAHASHA DAWA TUNAZIFAHAMU LAKINI HUWEZI KUTOA DAWA BILA HIstoria ya ugonjwa wa mtu nihatari. 0658005349

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

MAFUTA YA MNYONYO

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.