FAIDA YA PARACHICHI USONI
Mask kwaajili ya chunusi.
🥄 1/4 parachichi lilioiva 🥑
🥄 kijiko kimmoja cha limoa🍋
🥄 nusu kijiko cha unga wa majano
☑️ menya avocado alafu saga mpaka ilainike.🥑
☑️ ongeza juisi ya limao na unga wa manjano kutengeneza paste. 🍋
☑️ Weka mask kwenye uso ulio oshwa.💆♀️
☑️ Acha mask ikae kwa muda wa dakika 15🕟
☑️ Alafu osha uso kwa kutumia maji ya vugu vugu..💦
Kwa ushauri nichek 0658005349
Comments
Post a Comment