Posts

Showing posts from November, 2020

MAFUTA YA MNYONYO

Image
Faida za mafuta ya castor kwa ngozi na nywele na jinsi ya kuitumia  Mafuta ya Castor ni moja ya mafuta maarufu ya asili ambayo yanajulikana kwa faida yake ya matibabu na matibabu kwa nywele na ngozi ... Katika mafuta ya castor, triglycerides inajumuisha asidi ya mafuta na hadi asilimia 90 yao kutoka asidi ya ricinoleic.  Asidi hii ndio inayowapa mafuta ya castor mali zake za laxative.  Inayo rangi ya uwazi na wakati mwingine ni ya rangi ya manjano na yenye rangi nyembamba, na ni mafuta ambayo kawaida huwa hayanuki, lakini wakati mwingine harufu yake ni nyepesi sana na haijulikani.  Mafuta ya Castor yanajulikana na kupenya kwake kwa kina ndani ya nywele na kichwa, lakini hasara yake ni kwamba ni nzito sana na ni ngumu kuiondoa kwa urahisi kutoka kwa nywele na kichwa baada ya kuitumia.  Mafuta ya Castor yana faida nyingi kwa nywele.  1- Ni mafuta yenye "Vitamini E" ambayo hufanya kazi ya kulisha na kuimarisha nywele na kuzifanya laini kama hariri.  2 - Hufanya nywele kuwa na af

COCONUT OIL. benefit

Image
Financial Breakthrough and how to enhance sales in your shop Ingredients * cinnamon powder * coconut oil Preparation Mix the cinnamon powder and coconut oil together in a container and be using it to rub your face, hands and legs when going out every day. It will open financial doors for you For Market Sales Ingredients  * cinnamon powder * bitter kola     Preparation  Pound the bitter kola with it’s skin. Mix it with the cinnamon powder and sprinkle it around your shop every morning. It will increase sales in your shop

FAIDA YA MAJANI YA STAFELI

Image
FAIDA ZA MAJANI YA STAFELI Katika somo hili tutaona umhimu au faida 12 za majani ya mti wa mstafeli katika afya. Faida za majani ya Stafeli • Juisi yake hutibu kansa haraka na kwa ufanisi zaidi • Ina nguvu mara 10,000 zaidi ya tiba ya mionzi katika kuziua seli za kansa • Hutibu maumivu ya nyuma ya mgongo/low back pain • Ni tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa siku • Hutibu maumivu ya jongo/gout • Hurekebisha usawa wa kiasi cha damu sukari mwilini • Huongeza kinga ya mwili • Hudhibiti ukuwaji wa bakteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe • Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa • Hutibu jipu na vivimbe • Hukimbiza chawa Utatumiaje majani ya mstafeli kama dawa? Namna rahisi ni kutengeneza chai kutokana na majani freshi ya mstafeli na unywe kikombe kimoja kutwa mara 3 kwa mwezi mmoja. Inashauriwa hiyo chai unywe nusu saa kabla ya chaku

FAIDA YA LIMAO MDA WA ASUBUHI

Image
FAIDA 6 ZA KUNYWA MAJI YA NDIMU / LIMAO KILA ASUBUHI   Unaambiwa kunywa maji kwa wingi hasa wakati wa asubuhi ni faida kubwa sana kiafya mwilini, lakini kunywa maji ya uvugu vugu yenye ndimu / limau ni faida mara dufu. Hii ni kutokana na vitamin C iliyomo katika matunda haya ambayo ni faida kubwa sana katika mwili wa mwanadamu.  Mbali na  vitamini C, ndimu ina vitamini B-complex,  madini ya Kalshiamu, chuma, magnesiamu na potashiamu, na fiba (Ndimu ina potasiumu kwa wingi kuliko tofaa (apple) au  Zabibu. Kunywa maji peke yake ni ngumu kwa baadhi ya watu kutokana na kupata kichefuchefu lakini maji yaliyotiwa ndimu au limau huwa na ladha nzuri na kila mtu anaweza kunywa bila tatizo. Hapa nimekuorodheshea faida 6 za kunywa maji yenye ndimu / limau kila asubuhi. Tiba dhidi ya kikohozi Tumia limau katika maji ya uvuguvugu, weka na asali kidogo. Mchanganyiko huu husaidia kutibu mafua na kikohozi. Faida nyingine ni pamoja na;- Kuondoa harufu mbaya mdomoni Huboresha kinga ya mwili Husaidia kus

LONG HAIR...

Image
Ayurvedic herbs for hair growth pt 2.☘️๐ŸŒฟ๐ŸŒธ๐Ÿ‚ . So last time nilielezea a lil bit kuhusu Ayurvedic herbs, leo ntamention baadhi ya Ayurvedic herbs ambazo zinatumia katika hair growth na kufanya nywele zako ziwe very long and healthy. . ๐ŸŒฟALOE VERA Wengi tunaifahamu aloe vera na tunajua kama aloe vera inatumia katika urembo both skin care na hair care,... pia aloe vera tunatumia kama chakula na Tiba kwasababu iko na anti-oxidants na anti-inflammatory nyingi ambazo zinahitajika katika miili yetu.  . ๐ŸŒฑFENUGREEK(Uwatu) Uwatu ni Ayurvedic herb ambayo ina alot of nutrients ambazo zinasaidia kuzua nywele kukatika, inasaidia nywele kukua, kujaa na kuwa ndefu. Unaweza ukatumia uwatu ukiwa in a powder form au ukiwa na zile mbegu mbegu zake . ๐ŸˆAMLA Amla ni Ayurvedic fruit ambayo ina alot of vitamin C Na other anti oxidants ambazo zinasaidia nywele kukua kwa haraka, kujaza nywele na kufanya ziwe healthy. . ๐ŸŒฑBHRINGRAJ Bhringraj ina alot of properties zinazosaidia blood circulation which leads to

FAIDA YA PARACHICHI KWENYE NYWELE

Image
FAIDA ZA PARACHICHI KATIKA NYWELE i. Husaidia nywele kuwa nyevu wakati wote pia zenye mwonekano mzuri, pia hazina ugumu wakati wa kuchana ii. Kulingana na potasium na amino acids zilivyo kwenye parachichi husaidia kukuza nywele haraka sana iii. Mmba kichwani inamaana ngozi yako ya kichwa haina mafuta yani ikavu so parachichi husaidia kuongeza mafuta kwenye ngozi yako ya kichwa iv Pia linasaidia kufufua nywele kwa Wale waliokatika nywele.. Kama nilivoelezea aina za hair conditioner parachichi linaweza likatupa aina mbili za conditioner/steaming 1. KAMA DEEP CONDITIONER Aina hii unaweza fanya kila wiki au kila baada ya wiki mbili kulingana na ratiba yako. ★Mahitaji Kipande cha parachichi. Asali (sio lazima) Mafuta ya castor oil/Nazi/olive kijiko 1 ★Jinsi ya kuandaa Andaa parachichi toa maganda, kata vipande vidogo na saga kwa brenda au kijicho kisha chuja. Weka asali, kisha weka mafuta na mask/steaming yako iko tayari ★Matumzi Paka mchanganyiko  huu kuanzia kwenye mzizi wa nywele hadi kw

FAIDA YA KITUNGUU SWAUM KABLA HUJALA KITU

FAIDA YA KUTAFUNA VITUNGUU SWAUMU ASUBUHI KABLA HUJALA KITU , hii inatakiwa iwe mwendelezo kila siku walau wiki Moja asubuhi unapoamka tu ,menya punje 12 tafuna meza bila ,na viwe vya kitanzania yaani vile vidogo ,sio Yale makubwa ya kichina meupe hayafai , hii itasaidia kuondoa U T I ,sugu kwa kutafuna muendelezo siku 7 , inasaidia kuondoa sumu za mwilini ikiwa wewe mwili mwako umejaa sumu kulingana  na kula michipsi ,misoda mijuisi ya viwandani sigara , pia husaidia kwa wale wanaume wanaowahi kufika mwisho na uume kustop hii itasaidia kuimarisha misuli na kuwa mkakamavu kiasi cha kuwa na nguvu na hata ukitoa mbegu zinaruka kwa presha ,na pia husaidia kwa wamama wasio na hamu  na tendo ,itasaidia kuongeza kiwango cha homoni ,na kuweka mwili sawa ,pia hata walo na shida sehem za kizazi husaidia kwani hupambana pia na saratani au maambukizi katika njia za uzazi ,pia pumu husaidia kuzibua vile vimishipa vinavyoziba ,pia huweka mwili kinga kutoshambuliwa na magonjwa nyemelezi ambayo yanak

TIBA. KWA KUTUMIA TANGAWIZI

Image
NAMNA YA KUTUMIA TANGAWIZI KWA TIBA NAMNA YA KUTUMIA TANGAWIZI KWA TIBA Kutibu kutokusagika kwa chakula tumboni, Gesi tumboni, Msokoto wa tumbo (bila kuharisha), Kutapika, Mshtuko/Mkazo wa ghafula (wa msuli),Maumivu ya tumbo na Kibofu cha mkojo ikiambatana na Homa, Mafua, Kukohoa na Pumu. TUMIA JAM YA TANGAWIZI. JINSI YA KUTENGENEZA JAM YA TANGAWIZI. Kamua TANGAWIZI mbichi kisha changanya maji yake (Juice) na Sukari. Chemsha mpaka mchanganyiko huo uwe mzito. Ongeza Zafarani iliyosagwa,Iliki iliyosagwa, Kungumanga zilizosagwa na karafuu iliosagwa. Iweke dawa hii vizuri na tumia inapo hitajika. KWA KUVIMBIWA NA KUTAKA HAMU YA KULA. Changanya Juice ya TANGAWIZI, Juice ya Limau na Chumvi Mawe kwa vipimo vilivyo sawa. Hakikisha umechanganya vizuri. Kunywa dawa hii kabla ya Chakula. Vingineyo changanya vipimo vilivyo sawa sawa vya Juice ya TANGAWIZI na Sukari Mawe. Koroga vizuri, kunywa kabla ya kula chakula. Dawa hii husafisha Ulimi na Koo na hukuongeza hamu ya kula na kukufanya mchangamfu.

SCRUB YA SUKARI

 SCRUB YA SUKARI KWENYE KUBORESHA NGOZI YA ASILI. Kuna wakati ngozi huchoka na kupoteza mvuto wake wa asili,kutokana na sababu mbalimbali kama vile kurundikana kwa seli zilizokufa kwenye ngozi,kuzunguka sana juani n.k. Chenga laini za sukari zina uwezo wa kuirudisha ngozi yako muonekano mpya,afya na mvuto,Kulainisha na kuifanya ngozi ing'ae kiasili kabisaa.. JINSI YA KUFANYA  Chukua sukari vijiko viwili  vya chai changanya na mafuta ya Nazi au olive,au mafuta ya parachichi vijiko vitatu vya chai...koroga vizuri baada ya kusafisha vizuri uso wako mpaka shingoni anza kupaka mchanganyiko huo huku ukijifanyia scrubbing taratibu bila kusahau sehemu zilizojificha Kama chini ya pua,..scrub hii unaweza pia kuitumia kwenye lips ili kuzilainisha. Baada ya kufanya scrubbing takriban dakika5 Osha vizuri uso wako kwa kutumia maji ya uvuguvugu.. UNAWEZA KURUDIA HIVI KILA BAADA YA WIKI..YANI KWA WIKI UNAFANYA MARA MOJA.. 0658005349

JINSI YA KUWA MWEUPE BILA YA KUTUMIA MKOROGO

 ๐Ÿ’๐Ÿ’JINSI YA KUWA MWEUPE BILA KUPAKA CREAM๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ ๐Ÿ’๐Ÿ’Unataka kuwa mweupe? Tumia  Limao na sukari atafanikiwa kwa kiasi kikubwa. ๐Ÿ’๐Ÿ’Vinavyohitajika๐Ÿ’๐Ÿ’ Limao Sukari ๐Ÿ’Jinsi ya kufanya Hatua ya kwanza osha uso wako utakate kuondoa takataka za uso, baada ya hapo kausha na taulo. ๐Ÿ’๐Ÿ’Hatua ya pili Chukua limao changanya na sukari kisha koroga mpaka upate mchanganyiko mzito kama asali. ๐Ÿ’๐Ÿ’Hatua ya tatu Chukua mchanganyiko huo paka usoni kisha acha ukauke uwe kama unga. ๐Ÿ’๐Ÿ’Hatua ya mwisho sugua mpaka uchafu wote utoke kwenye uso wako, kisha osha na maji ya vuguvugu. ๐Ÿ’Baada ya hapo paka losheni yoyote laini ili kulainisha ngozi, fanya hivyo kwa wiki nzima utaona jinsi utakavyokuwa mweupe ambaye umetumia njia asilia tu pasipo kemikali๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’

JINSI YA KUPUNGUA TUMBO

 KINYWAJI KITACHOFANYA UONE TUMBO LIKIPOTEA NDANI YA WIKI MOJA Chukua jagi kubwa na weka vifuatavyo: 1. Maji na slice za: 2. Matango yaliyokatwakatwa 3. Malimao au Ndimu 4. Mdalasini 5. Tangawizi au Manjano ukiweza kupata 6. Majani ya mint (ukipata) Weka mchanganyiko kwenye friji na tumia kama maji ya kawaida. Ukipenda maji yakiisha weka maji mapya, ila ni vizuri zaidi ukila hayo matunda na kuweka mengine fresh. Ukiachana na kuondoa mafuta ya tumbo, mchanganyiko huu ni mzuri kwa kuondoa sumu mwilini. Kama ladha unaiona kali sana, ruksa kuongeza kijiko cha asali. Share na wengine wajifunze! 0658005349