JINSI YA KUWA MWEUPE BILA YA KUTUMIA MKOROGO

 ๐Ÿ’๐Ÿ’JINSI YA KUWA MWEUPE BILA KUPAKA CREAM๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’


๐Ÿ’๐Ÿ’Unataka kuwa mweupe? Tumia  Limao na sukari atafanikiwa kwa kiasi kikubwa.


๐Ÿ’๐Ÿ’Vinavyohitajika๐Ÿ’๐Ÿ’


Limao


Sukari


๐Ÿ’Jinsi ya kufanya


Hatua ya kwanza osha uso wako utakate kuondoa takataka za uso, baada ya hapo kausha na taulo.


๐Ÿ’๐Ÿ’Hatua ya pili


Chukua limao changanya na sukari kisha koroga mpaka upate mchanganyiko mzito kama asali.


๐Ÿ’๐Ÿ’Hatua ya tatu


Chukua mchanganyiko huo paka usoni kisha acha ukauke uwe kama unga.


๐Ÿ’๐Ÿ’Hatua ya mwisho


sugua mpaka uchafu wote utoke kwenye uso wako, kisha osha na maji ya vuguvugu.


๐Ÿ’Baada ya hapo paka losheni yoyote laini ili kulainisha ngozi, fanya hivyo kwa wiki nzima utaona jinsi utakavyokuwa mweupe ambaye umetumia njia asilia tu pasipo kemikali๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

MAFUTA YA MNYONYO

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.