LONG HAIR...
Ayurvedic herbs for hair growth pt 2.☘️🌿🌸🍂
.
So last time nilielezea a lil bit kuhusu Ayurvedic herbs, leo ntamention baadhi ya Ayurvedic herbs ambazo zinatumia katika hair growth na kufanya nywele zako ziwe very long and healthy.
.
🌿ALOE VERA
Wengi tunaifahamu aloe vera na tunajua kama aloe vera inatumia katika urembo both skin care na hair care,... pia aloe vera tunatumia kama chakula na Tiba kwasababu iko na anti-oxidants na anti-inflammatory nyingi ambazo zinahitajika katika miili yetu.
.
🌱FENUGREEK(Uwatu)
Uwatu ni Ayurvedic herb ambayo ina alot of nutrients ambazo zinasaidia kuzua nywele kukatika, inasaidia nywele kukua, kujaa na kuwa ndefu. Unaweza ukatumia uwatu ukiwa in a powder form au ukiwa na zile mbegu mbegu zake
.
🍈AMLA
Amla ni Ayurvedic fruit ambayo ina alot of vitamin C Na other anti oxidants ambazo zinasaidia nywele kukua kwa haraka, kujaza nywele na kufanya ziwe healthy.
.
🌱BHRINGRAJ
Bhringraj ina alot of properties zinazosaidia blood circulation which leads to healthy hair growth. Bhringraj pia inasaidia kuzuia na kupunguza hair fall and hair loss.
.
🌿NEEM LEAVES
Haya ni majani ya mwarobaini. Majani ya mwarobaini yanasaidia sana kukuza nywele, kutoa na kupunguza mba na miwasho kwasababu yana alot of anti-fungal, anti-bacteria properties ambazo zinasaidia kufight infections.
.
🌿ROSEMARY.
Rosemary inasaidia kuunclog hair follicles, stimulate scalp circulation and promote healthy thicker hair. Rosemary ni nzuri sana kutumiwa katika nywele....
.
🍂HENNA.
Henna inasaidia sana kurestore natural hair color na kufanya nywele ziwe thick na zilizojaa. Kama nywele zako ni chache na nyepesi sana basi pendelea matumizi ya henna au products zenye henna.
.
☘️CALENDULA
Calendula is an abundant source of vitamins, Antioxidants and minerals ambazo zinasidia kufanya nywele ziwe very long and healthy...
.
Hizi ni baadhi ya Ayurvedic herbs, as i said mwanzo kwamba Ayurvedic herbs ziko nyingi sanaaaaa sanaaaa yaani tunaweza tusimalize leo🤓
.
Comments
Post a Comment