SCRUB YA SUKARI

 SCRUB YA SUKARI KWENYE KUBORESHA NGOZI YA ASILI.


Kuna wakati ngozi huchoka na kupoteza mvuto wake wa asili,kutokana na sababu mbalimbali kama vile kurundikana kwa seli zilizokufa kwenye ngozi,kuzunguka sana juani n.k. Chenga laini za sukari zina uwezo wa kuirudisha ngozi yako muonekano mpya,afya na mvuto,Kulainisha na kuifanya ngozi ing'ae kiasili kabisaa..


JINSI YA KUFANYA 

Chukua sukari vijiko viwili  vya chai changanya na mafuta ya Nazi au olive,au mafuta ya parachichi vijiko vitatu vya chai...koroga vizuri baada ya kusafisha vizuri uso wako mpaka shingoni anza kupaka mchanganyiko huo huku ukijifanyia scrubbing taratibu bila kusahau sehemu zilizojificha Kama chini ya pua,..scrub hii unaweza pia kuitumia kwenye lips ili kuzilainisha.


Baada ya kufanya scrubbing takriban dakika5 Osha vizuri uso wako kwa kutumia maji ya uvuguvugu..


UNAWEZA KURUDIA HIVI KILA BAADA YA WIKI..YANI KWA WIKI UNAFANYA MARA MOJA..


0658005349

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

MAFUTA YA MNYONYO

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.