FAIDA YA MAJANI YA STAFELI
FAIDA ZA MAJANI YA STAFELI
Katika somo hili tutaona umhimu au faida 12 za majani ya mti wa mstafeli katika afya.
Faida za majani ya Stafeli • Juisi yake hutibu kansa haraka na kwa ufanisi zaidi
• Ina nguvu mara 10,000 zaidi ya tiba ya mionzi katika kuziua seli za kansa
• Hutibu maumivu ya nyuma ya mgongo/low back pain
• Ni tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa siku
• Hutibu maumivu ya jongo/gout
• Hurekebisha usawa wa kiasi cha damu sukari mwilini
• Huongeza kinga ya mwili
• Hudhibiti ukuwaji wa bakteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe
• Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa
• Hutibu jipu na vivimbe
• Hukimbiza chawa
Utatumiaje majani ya mstafeli kama dawa? Namna rahisi ni kutengeneza chai kutokana na majani freshi ya mstafeli na unywe kikombe kimoja kutwa mara 3 kwa mwezi mmoja. Inashauriwa hiyo chai unywe nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi, mchana na jioni.
Kama hutaweza kupata majani freshi ya mti wa mstafeli unaweza kutumia majani makavu ya mti huu yaliyo katika mfumo wa unga kwenye maduka ya dawa za asili sehemu nyingi hapa Tanzania.
Kwenye hiyo chai ya majani ya mstafeli ndani yake weka vitu hivi pekee; maji ya chai, majani ya mstafeli na asali au sukari, usiongeze majani mengine ya chai humo. Pia inashauriwa utengeneze chai ya kutosha kuitumia kutwa nzima yaani uchemshe vikombe vitatu kwa wakati mmoja na uinywe kikombe kimoja kutwa mara tatu. 0658005349
Comments
Post a Comment