SCRUB YA SUKARI NA MAFUTA YA MZEITUNI
JINSI YA KUTENGENEZA SCRUB KWA KUTUMIA SUKARI NA MAFUTA YA MZEITUNI
Scrub hii itakusaidia sana kuondoa uchafu wote kwenye ngozi yako na hivyo itasaidia hata bidhaa nyingine za urembo unazotumia zifanye kazi yake vizuri, jinsi ya kutengeneza, chukua sukari kiasi cha mkono wako mmoja kisha changanya na vijiko viwili vya mafuta ya mzeituni na kisha ukoroge vizuri. Paka vizuri mchanganyiko huo katika ngozi yako na usubiri kwa muda wa dakika kumi kabla ya kuosha.
Je umeshawahi kutumia scrub ya sukari na mafuta ya mzeituni? Tuambie kwenye comments.
Comments
Post a Comment