FAIDA YA KITUNGUU SWAUM KABLA HUJALA KITU

FAIDA YA KUTAFUNA VITUNGUU SWAUMU ASUBUHI KABLA HUJALA KITU ,

hii inatakiwa iwe mwendelezo kila siku walau wiki Moja asubuhi unapoamka tu ,menya punje 12 tafuna meza bila ,na viwe vya kitanzania yaani vile vidogo ,sio Yale makubwa ya kichina meupe hayafai ,

hii itasaidia kuondoa U T I ,sugu kwa kutafuna muendelezo siku 7 ,
inasaidia kuondoa sumu za mwilini ikiwa wewe mwili mwako umejaa sumu kulingana  na kula michipsi ,misoda mijuisi ya viwandani sigara ,
pia husaidia kwa wale wanaume wanaowahi kufika mwisho na uume kustop hii itasaidia kuimarisha misuli na kuwa mkakamavu kiasi cha kuwa na nguvu na hata ukitoa mbegu zinaruka kwa presha ,na pia husaidia kwa wamama wasio na hamu  na tendo ,itasaidia kuongeza kiwango cha homoni ,na kuweka mwili sawa ,pia hata walo na shida sehem za kizazi husaidia kwani hupambana pia na saratani au maambukizi katika njia za uzazi ,pia pumu husaidia kuzibua vile vimishipa vinavyoziba ,pia huweka mwili kinga kutoshambuliwa na magonjwa nyemelezi ambayo yanakuanza ,pia hutibu minyoo 

ila ili uyapate yote hayo utatakiwa kula asubuhi kabla hujala kitu na uvitafune sio kumeza mazima mazima ,kisha unaweza kukaa nusu saa ndio ukala au kunywa kama ni chai ,

ukijaribu tofauti utaanza kuiona siku hiyo hiyo ,
.
wengi huikosea kwa kuila baada ya chakula au kuikata vipande vipande yaani chop ,ili ifanye kazi haraka na usahii tafuna asubuhi ,hupambana na wadudu wote waharibifu ndani ya mwili kwani pale mwili unakua hauna cha kumengenya zaidi ya hiyo Dawa na hapo ndio ufanisi hutokea kwa kiasi kikubwa ,kwani mwili kama umejaa sumu za soda ukila baada ya chakula hufanya kazi kidogo sana ,

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ARISHA USO NA MWILI MZIMA

MAFUTA YA MNYONYO

FAIDA YA TANGAWIZI KATIKA MWILI.