FAIDA YA PARACHICHI KWENYE NYWELE
FAIDA ZA PARACHICHI KATIKA NYWELE
i. Husaidia nywele kuwa nyevu wakati wote pia zenye mwonekano mzuri, pia hazina ugumu wakati wa kuchana
ii. Kulingana na potasium na amino acids zilivyo kwenye parachichi husaidia kukuza nywele haraka sana
iii. Mmba kichwani inamaana ngozi yako ya kichwa haina mafuta yani ikavu so parachichi husaidia kuongeza mafuta kwenye ngozi yako ya kichwa
iv Pia linasaidia kufufua nywele kwa Wale waliokatika nywele..
Kama nilivoelezea aina za hair conditioner parachichi linaweza likatupa aina mbili za conditioner/steaming
1. KAMA DEEP CONDITIONER
Aina hii unaweza fanya kila wiki au kila baada ya wiki mbili kulingana na ratiba yako.
★Mahitaji
Kipande cha parachichi.
Asali (sio lazima)
Mafuta ya castor oil/Nazi/olive kijiko 1
★Jinsi ya kuandaa
Andaa parachichi toa maganda, kata vipande vidogo na saga kwa brenda au kijicho kisha chuja.
Weka asali, kisha weka mafuta na mask/steaming yako iko tayari
★Matumzi
Paka mchanganyiko huu kuanzia kwenye mzizi wa nywele hadi kwenye ncha yakoha masage kuchanganya ukimaliza vaa kofia yako ya plastic kaa dk 30mpaka 40 kisha osha nywele yako.
2.KAMA PROTEIN TREATMENT
Hii unatakiwa kutumia mara1 kwa mwezi au mara1 kwa wiki 6.
★Mahitaji
Kipande cha parachichi.
Kiini cha yai
Asali (sio lazima)
maziwa mgando/ mayonize
Mafuta ya castor oil/Nazi/olive kijiko 1
★Jinsi ya kuandaa
Andaa parachichi toa maganda, kata vipande vidogo na saga kwa brenda au kijicho kisha chuja.
Weka kiini cha yai, asali na mayonize/maziwa mgando, kisha weka mafuta na mask/treatment/steaming yako iko tayari
★Matumzi
Comments
Post a Comment